Yalnız Mesajı Göster

Kenya Milli Marşı - Kenya Ulusal Marşı

Eski 08-20-2012   #1
Prof. Dr. Sinsi
Varsayılan

Kenya Milli Marşı - Kenya Ulusal Marşı



Kenya Milli Marşının Sözleri, Kenya Ulusal Marşı

KENYA ÜLKESİ MİLLİ MARŞI

(verse:1)

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu

Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na udugu

Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi

(verse:2)

Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii

Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya

Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda

(verse:3)

Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu

Kenya istahili heshima
Tuungane mikono

Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani

Alıntı Yaparak Cevapla