ForumSinsi - 2006 Yılından Beri

ForumSinsi - 2006 Yılından Beri (http://forumsinsi.com/index.php)
-   Ülke & Şehirler (http://forumsinsi.com/forumdisplay.php?f=413)
-   -   Tanzanya Milli Marşı - Tanzanya Ulusal Marşı (http://forumsinsi.com/showthread.php?t=500628)

Prof. Dr. Sinsi 08-20-2012 02:44 AM

Tanzanya Milli Marşı - Tanzanya Ulusal Marşı
 
Tanzanya Milli Marşı Sözleri
Tanzanya Ulusal Marşı
Tanzanya'nın Milli Marşı



Tanzanya Ülkesinin Milli Marşının Sözleri
1.

Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.

Chorus:

Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.

2.

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki,
Tanzania na watu wake.

Chorus:

Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.


Powered by vBulletin®
Copyright ©2000 - 2025, Jelsoft Enterprises Ltd.